Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA.
-------------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 HADI KWENYE NYUMBA NA BODABODA ELFU 1000 KUTOKEA KIMARA MWISHO MWENDOKASS TERMINAL.
----
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
UMEME NA MAJI MITA INAJITEGEMEA
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
PUBLIC TOILET YA NJE
FULL PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA
--------
HAPA KUNA APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
a ) YA JUU GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
b) ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /= KWA MWEZI.
NB =
KODI HII IMEJUMRISHWA PAMOJA NA MAJI TAKA ,USAFI PAMOJA NA ULINZI.
----
MALIPO NI MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----
WAHI 2 WAHI SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE.
0655256419