Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ##250K
---------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KONA UMBALI WA DK 5 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
----
HII APARTMENT ITAKUA WAZI TAREHE 15 /7 /2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO.
SIFA ZAKE =
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
OPEN KITCHEN
TAILS
GYPSUM
AIR CONDITION
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA
---
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
=====
CALL
0683234124
0718367179