Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI 350K HIZI NYUMBA ZIPO 3 TU KWENYE FENSI MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/06/2024;KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#CHOO NA BAFU VYA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA MAKUBWA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA YAPO YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Contact 0748817181