Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAKUWA WAZI TAREHE 30/06/2024 JUMAPILI KUONA JUMAPILI ITAKUWA WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#STORE
#CHOO CHA FAMILIA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#NOTE KUJA KUONA SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
PIGA SIMU
0679447338
0753454167