Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA
JUMBA HILI LA KISASA LIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O
#SIFA_ZAKE
# VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA YAPO AINA MBILI JIKO LA NDANI NA JIKO LA NJE
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN NZURI YENYE SEHEMU YA KUPUMZIKIA
BEI NI 1,000,000/= X 6
PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA LA NJE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 .
โ๏ธ๐
0788373343/Whatsapp
************************