Nyumba inapangishwa Manzese, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KIBACHELA YA KISASA INAPANGISHWA MANZESE (BIG BROTHER)
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/07/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#CHOO KIZURI CHA KWAKO CHA NJE
#JIKO KUBWA LA NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 170,000/= X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MANZESE MAENEO YA BIG BROTHER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37