Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
=
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa,
=
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali KM 1 Tu kutoka Morogoro Road
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347