Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


TUNAKULETEA NYUMBA NZUR KUBWA NA MPYAAA ZIPO MBILI
NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KIBAND CHA MKAA
UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU
PIKPK 100 MPK GETINI
SIFA ZAKE HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO
-PUBLIC TOILET
-AC/AIR CONDITIONS
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
-NDANI YA FENSI ZIPO NYUMBA 2
-YA JUU NDIYO IPO WAZI
-WAPANGAJI 2 TUUU GETI LENU PARKING IPO
BEI NI 270,000 ILIPWE MIEZI SITA
*ANGALIZO:NYUMBA IPO WAZI ILA UFUNGUO UNAKUJA SOON*
*YA JUU
NDIYO IPO WAZI WAHI SASA UKAE SEHEM NZUR*
0655256419