Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTER KINAPANGISHWA.
LOCATION
UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVER SIDE KUPITIA KIBANGU . USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 TU UPO NYUMBANI.
KODI
TSH. 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4) NA KUENDELEA.
SIFA
NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
TILES, GYPSUM, ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
LUKU SUBMETER
MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 (YANAFLOW CHOONI )
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU PERVING BLOCK SAFI
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177