Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
๐ฏ๏ธNyumba Kali Sanaa UBUNGO KONA
๐Kodi 450,000/= *3
๐Kodi hata miezi mitatu, baada hayapo hata ukiwa unalipa MWEZI MMOJA MMOJA
________
____
โข Chumba Master
โข Sebule
โข Jiko
* A/c ipo Sebuleni
* Inajitegemea UMEME
* Garden
* Mazingira tulivu na mazuri sana
* Mlinzi wa Kampuni yupo
* Fensi
* Parking Kubwa
#Ipo Umbali wa dk 6 tu had mwendokasi
#Note: Kodi inaambatana na hela ya tahadhari 450k, unarudishiwa unavyohama, kama hauna njoo ntakuombea ulipe kodi ya miezi miwili na hela ya tahadhari jumla inakuwa miezi mitatu
_________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 450,000/=
#Service Charge 15,000
0753172516