Nyumba (Furnished) inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
FULL FURNISHED APARTMENT
Loc:sinza
Price: milioni 1.2 per month
Term:1 month+
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Chumba master, sebule jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo full Air conditioner umeme unajitegemea maji unajitegemea full furniture unakuja na nguo zako..
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈