Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Reli, Mtwara

 media -1
media -1
Sh. 170,000,000

NYUMBA ZINAUZWA MICHESE DODOMA

zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka reli ya SGR.

Zipo nyumba nne, mbili zimekamilika kila kitu. Zipo kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 2600sqm, kimepimwa na kina hati.

Nyumba ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master , sebule na sehemu ya jiko na dinning.

Nyumba ya pili inafanana na ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master, sebule na sehemu ya jiko na dinning.

Nyumba ya tatu haijakamilika, ni pagale lenye vyumba vitatu vyote master, sebule na sehemu ya dinning.

Nyumba ya nne ni servant quarter Ina chumba master na sebule, chumba master peke yake na public toilet.

Kuna eneo la laundry, kisima Cha maji kirefu sana, matenki, compound Ina paving blocks na garden ya kuvutia. Eneo lote limezungukwa na fensi.
Ujenzi umezingatia standard ya juu sana.

Kuna eneo kubwa limebaki unaweza kujenga nyumba zingine na kuweka swimming pool.

Nyumba hizi zinafaa sana kibiashara. Unaweza ku-redesign kuwa lodge au hotel. Aidha unaweza kuzifanya ziwe nyumba za kupangisha au ukaziongezea thamani zikawa full furnished apartments ukafanya biashara ya AIRBNB ambayo kwa Dodoma bado ni fursa kubwa sana.

Bei ni milioni 170 na ni negotiable.

Mawasiliano zaid
Call au watsApp 0718436694

dalali smart dodoma
dalali_smart_dodoma
dalali smart dodoma

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Reli, Mtwara
  • By Installment
  • Project

Sh. 120,000

NEW PROJECT LOADING.......CHALINZE NI MJI UNAO KUWA KWA KASI SANA UKIZINGATIA UWEPO WA MOROGORO ROAD...

Nyumba inapangishwa Reli, Mtwara
  • By Installment
  • Project

Sh. 50,000

KARIBU SITE CHALINZEKILA JUMAMOSI NA JUMAPILI UONE VIWANJA VYETU VIZURICHALINZE NI MJI UNAO KUWA KWA...

Kiwanja kinauzwa Reli, Mtwara

Sh. 900,000

Kwa mahitaji ya Gate motor zenye uwezo wa kubeba gate la uzito mpaka 600kg, inakuja na vitu vifuatav...

Kiwanja kinauzwa Reli, Mtwara

Sh. 900,000

Kwa mahitaji ya Gate motor zenye uwezo wa kubeba gate la uzito mpaka 600kg, inakuja na vitu vifuatav...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Reli, Mtwara

Sh. 170,000,000

NYUMBA ZINAUZWA MICHESE DODOMA zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka rel...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Reli, Mtwara

Sh. 170,000,000

NYUMBA ZINAUZWA MICHESE DODOMA zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka rel...

Kiwanja kinauzwa Reli, Mtwara

Sh. 600,000,000

MICHESE DodomaKaribu na Shule ya Golden Value Sqm 59,000 karibu Eka 13Umbali mpaka City Center ni Km...