Nyumba inapangishwa Bagamoyo, Mbeya

 media -1
media -1
Sh. 150,000

ENEO, ENEO,ENEO,Karibu upangishe eneo kubwa lenye Fursa nzuri ya uwekezaji wenye tija. Eneo husika lina ukubwa wa sqm1132 pamoja na hati miliki. Eneo lipo Boko Chama linatizamana na barabara Bagamoyo na Ununio beach. Ndani ya eneo hili kuna fremu 5 za maduka ( fremu mbili ziko wazi na bei ni 150, 000 kwa mwezi) na kila duka lina vyumba viwili na nyuma ya jengo la maduka kuna Bar yenye majiko mawili ( jiko la ndani na nje) na container la futi 20 (linalotumika kama store room na counter pia).
Kikubwa zaidi eneo hili laweza kutumika kwa biashara ya ujenzi wa kituo cha Mafuta (petrol station), kumbi ya starehe, apartments, hostel ,lodge, guest house, restaurants, maduka(fremu za maduka na supermarket) na ofisi e.t.c. *Angalizo* , eneo haliuzwi na haliruhusiwi kutumika kama sehemu ya nyumba ya maombi ( ibada)
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Ivan the Don 0687575770 Kwa picha zaidi na jinsi ya kwenda kupaona

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bagamoyo, Mbeya

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ SALASALA ______________________ #VYUMBA VIWILI MAST...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bagamoyo, Mbeya

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ SALASALA ______________________ #VYUMBA VIWILI MAST...

Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Project

Sh. 1,000,000

Bagamoyo Fukayosi viwanja bado vipo. Km 1.5 kutoka main road Kwa 2M unapata sqm 1000 Na 1M unapata ...

Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Project

Sh. 1,500,000

MRADI WA MASHAMBA MPYA BAGAMOYO MKENGE PHASE 5Tunazidi kuwashukuru wateja wetu kwa kuzidi kutuamini...

Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Project

Sh. 1,500,000

MRADI WA MASHAMBA MPYA BAGAMOYO Mkenge PHASE 5Tunazidi kuwashukuru wateja wetu kwa kuzidi kutuamini...

Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Project

Sh. 1,500,000

MRADI WA MASHAMBA MPYA BAGAMOYO Mkenge PHASE 5Tunazidi kuwashukuru wateja wetu kwa kuzidi kutuamini...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bagamoyo, Mbeya

Sh. 500,000,000

Ghorofa InauzwaBei milioni 500Ina hati Kiwanja sqm 1,700Vyumba 4MITA 150 Toka bagamoyo RoadSim +255 ...

Mashamba yanauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Agriculture
  • Project

Sh. 1,500,000

MRADI MPYA WA MASHAMBA BAGAMOYO - KIWANGWA ▫️Bei tsh 1,500,000 kwa ekari 1.▫️Malipo miezi 15 Kila mw...

Mashamba yanauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Agriculture
  • Project

Sh. 1,500,000

MRADI MPYA WA MASHAMBA BAGAMOYO - KIWANGWA ▫️Bei tsh 1,500,000 kwa ekari 1.▫️Malipo miezi 15 Kila mw...

Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
  • Project

Sh. 5,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA SANZALE BAGAMOYOLocationSANZALE-njia ya mlandiziSQm 1 tsh 10,000B...