Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
14/4/2024
Nyumba inapangishwa apartment 3
Location bunju a usalama
Bei 350000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme Mpya
Ipo ndani ya fence.
Full ac
Contact 0783436763 au 0711421798