Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE BUNJU B
-โ-------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom.
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Full air condition
Garden safi
Mazingila mazuri
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH๐น๐ฟ๐พ