Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


CHUMBA KIZURI SANA KINAPANGISHWA
___________
LOCATION: BUNJU 'B'- (Njia ya Mabwepande)
___________
Chumba Single, Chumba ni kikubwa kina Futi 15 X 15 Choo chako unatumia mwenyewe.
Wapangaji wawili, umeme na Maji mnashare
Kodi: Tsh. 70,000/= Kwa mwezi
SERVICE CHARGE: TSH. 10,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788