Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa apartment 12/5/2024
Location bunju b mapinga
Bei 350000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Ipo ndani ya fence.
Contact 0783436763 au 0711421798