Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


Apartments yenye vyumba viwili sebule jiko public toilet chumba kimoja ni master bedroom apartment zipo bunju beach moga bei inapangishwa laki 3 Kwa mwezi malipo niya miezi 6
#Cal
#0717671240 au what's up ๐