Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
New apartiment for rent
Hizi nyumba zipo 6 kwenye compound moja
Kila moja ina vyumba v2 sebule jiko choo
Nyumba ni mpya zipo bunju mianzini nyuma ya KAIRUKI HOSPITAL
Mita chache sana kutoka lami
Nyumba nikali vibaya mnoo
Zina kilakitu πget rimot electric fens milizi hita a/c makabat jikon na vyumban
Na kilampangaji na luku yake na maji
Nyumba zipo mita 300 kutoka lami
Bei ni laki sita(600000)kwamwez malipo miezi 6
Bila kusahau malipo ya dalali ya mwezi mmoja karibu
Wahi uishi kwenye new house
Kwamaelezo Zaid
0772584594
Wasp0656085955