Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


28/2/2024
Nyumba inapangishwa stand alone inajitegemea ipo pekeyake ndani ya fence
Location bunju a Kwa baharia
Bei 800000 Kwa mwezi
Miezi 4 au 6
Vyumba 4 viwili Master bedroom sitting room kitchen cabinets dining room public toilet sevant kota CHUMBA SEBULE CHOO JIKO mabanda ya kufugia
Contact 0783436763 au 0711421798