Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


π CHUMBA MASTER & SEBULE π
π Bunju
π Ndani ya fensi (zipo Tatu)
πΉ Muundo wa Nyumba:
β’ ποΈ Chumba master
β’ ποΈ Sebule
β’ β‘ Umeme unajitegemea
β’ π§ Maji unajitegemea
π° Kodi: Tsh 150,000/= kwa mwezi
π Wasiliana:
π² 0687 800 788
π² 0713 958 395



















