Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
14/5/2024
Nyumba inapangishwa apartment 2
Location bunju a shule mji mpya
Bei 400000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Contact 0783436763 au 0711421798