Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA INAJITEGEMEA ____11/02/2025.
Ipo bunju kinondoni.
Bei 700,000/= Kwa mwezi malipo ya miezi 6.
Bila kusahau malipo ya Kahena real estate mwezi mmoja.
Ina vyumba v4, V2 master, Sebule, Sehemu ya kulia chakula, Jiko, Choo cha pamoja na bafu.
Umeme na maji vipo.
Umbali kutoka lami ya barabara ya bagamoyo ni mt 200 tu.
Gharama ya ukaguzi itahitajika kutoka kwako boss wetu.
Wasiliana nasi kwa kupiga sim au whatsapp #0758998074π ___Au fika ofiss yetu iliyopo bunju karibu na shule ya moga _____Karibu boss wetu tukuhudumie.