Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
PLOT FOR SALE
LOCATION; Bunju “B”
Sqm; 1,251
Bei; 150 Million.
Ni commercial, residential plot
Kina frame nne za biashara kwa mbele, ndani Kuna mabanda ya kuku (unaweza kuyatoa au kuacha)
Ni kizuri kwajili ya
- kujenga nyumba za kupanga(Apartments).
- mbele unaweza kupangisha frame, ambazo zipo tayari.
- ila pia unaweza kujenga nyumba yako mwenyewe.
Kiwanja kipo mita 400 kutoka lami
Mtaa mzuri sana.
Hati ipo. Call / WhatsApp 0683983630