Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


✨CHUMBA MASTER NA SEBULE✨
📍 LOCATION: Bunju B - Dakika 3 kutoka Stand
💠 MUUNDO WA NYUMBA:
🛏️ Master Bedroom
🛋️ Sebule
🚰 Maji ya DAWASCO (mnashare wawili)
💡 Umeme wa LUKU (mnashare wawili)
💰 BEI:Tsh 150,000/= kwa Mwezi, Kuanzia miezi 4
📞 Mawasiliano:
WhatsApp / Call:
📱 0687 800 788 / 0713 958 395