Nyumba inapangishwa Buswelu, Mwanza


APARTMENT INAPANGISHWA BUSWELU
-Vyumba viwili vya kulala kimoja wapo ni Self Contained, Sebule, Jiko lenye Makabati & Public Toilet
-Umeme Na Maji 1 Inajitegemea
-Cars Parking space ipo
FAMILIA NNE NDANI YA FENSI
KODI TSHS LAKI 290,000 KWA MWEZI
MALIPO KUANZIA MIEZI 6
📲📲📲 0743220097