Nyumba inapangishwa Buza, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA BUZA
Leo nakuletea Apartment ya kupanga nzuri kabisa bosi wangu
Nyumba kali sana hakika ni kali karibu sana sana
SIFA ZA NYUMBA (Standalone)
👉Vyumba 3,1masta
👉Sebule
👉public toilet
👉Jiko
👉Full AC
👉maji na umeme unajitegemea
👉Karibu na barabara kubwa ya lami kama hatua 10
👉parking ipo ya kutosha ,
👉mweny nyumba hana njaa
👉Room ya mfanyakazi
👉 Gari linafika mpaka ndani
📍Location: Buza kanisani
✅ Price : 500,000/ mwezi Miezi 6
Agent fee : mwezi mmoja
Kukupeleka site : 10,000
Mawasiliano: 0629 113 743 whatsapp 0629 113 743
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba
#nyumbanzuri
#panganyumbuza
#pangisha
#rent