Nyumba inapangishwa Chanika, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE, DINING NA JIKO. MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA, FENI CHUMBANI NA SEBULENI.
NYUMBA IKO NDANI YA FENSI NA NI KARIBU SANA NA BARABARA.
LOCATION: CHANIKA, KITUO KWA MBIKI.
KODI: 180,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITANO.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111