Nyumba inapangishwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA, SEBULE, JIKO ZURI NA CHOO PUBLIC CHA NDANI. FENI ZIPO CHUMBANI NA SEBULENI,
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA YENYEWE.
LOCATION: KWA CHIKILA, NJIA YA CHANIKA
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111