Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa pia zuri sana
Nyumba ipo goba sentar upende wa kulekea makongo
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea
Full AC sebuleni na vyumbani
Bei laki7k kodi miezi4 tu
Nipigie simu 717 173 180