Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


*APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
GOBA KINZUDI.*
Zina vyumba 3, kimoja master na vyoo vyote vya kukaa master na public.
Nyumba zimekamilika mteja unaweza hamia hata Leo yaani ukilipa tuu una weza ingia
*Bei:* laki 6, miezi 6.
Laki 6 kodi inajumuisha ulinzi na usafi.
Pakingi kubwa kabisa
Wahi mapema apartment ni nzuri na zipo kinzudi
call Whatsapp
0689590210
0719523533
0748887892