Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa sana
Nyumba ipo goba simba 🛢 kutoka lami kilometa moja tu
Bei laki tano kwa mwezi kodi miezi6
Huduma maji dawasco umeme Mita yako
Nipigie simu 717 173 180