Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


House Of Two Bedroom (All Masters), Sebule na Jiko 500k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Njia Nne (Madale Road)📍
• Vyumba Vyote Ni Master
• Jiko Lake Kubwa
• Fence Na Parking
• Nyumba ipo karibu na Main Road (dk 2 kutembea)
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 500k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6) (Negotiable)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0652251725 Normal/Whatsapp📲