Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NA KULETEA NYUMBA NZUR NA MPYAA KABISAA
IPO GOBA ROAD & GOBA NJIA NNE KM 1
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA KIKUBWA
-CHOO NDANI
-JIKO KUBWA
-MAJI UMEME UNA JITEGEMEA
-NYUMBA MPYA ZIPO MBILI KWA FENSI
-PEVING BLOCK
ZIPO NYUMBA MBILI WAZI NA ZOTE MPYAA
BODA NI 1000 KUTOKA LAMI YA GOBA.
KODI NI 200,000Γ6 HAIPUNGUI MIEZI
#0625606710