Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba 🏡🏠 kali sana inapangishwa
Ina vyumba vitatu vyote ni master
Public toilet jikoni makabati jiko na VYUMBA vyote
Inajitegemea ndani ya fence
Offer 900k
Location GOBA CENTER""
Piga simu tumalize chp
0718679610""
Nyumba itakuwa wazi mwisho wa mwezi