Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KISHUA KABISAAA WAHI CHAP ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SOMA MAELEZO KWA MAKINI
(1.) Chumba sebule choo na jiko zuri linawekwa Makabati
300,000 × 6
(2.) Vyumba viwili kimoja master sebule jiko linawekwa Makabati na public toilet
500,000 × 6
GOBA NJIA YA MADALE
DAKIKA 5 KWA MIGUU KUTOKA MADALE ROAD
Service charge 15,000/=
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja KAMILI ISIPUNGUE HATA MIA
0655256419 PIGA SIMU TUMALIZEE.....