Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa, GOBA KINZUDI.
chumba, sebule, jiko, choo.
Bei: 250,000 kwa mwezi.
Kutoka lami km 1 na nusu.
Kutoka goba kinzudi hadi kwenye nyumba na bodaboda ni 1500.
Kutoka Africana hadi kwenye nyumba na bajaji ni 700
Karibuni sana.
Piga: 0718950277
0754587611