Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala vyote master bedroom public toilet 🚻 jiko la kishua zuri sana
Nyumba ipo goba sentar kituo mnadani kutoka lami dakika 5tu
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea
Full AC
Bei bei laki6 nanusu 650000k kwa mwezi kodi miezi6
Nipigie simu 717 173 180