Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 300kđźŹ
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Lastanza📍
• Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Air Conditioner na Heater Zpo✅
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Ipo Karbu sana Na Barabara inafikika Vizuri
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 300k💷💸
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k ( Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp 📲