Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
(WAWILI KWENYE COMPOUND)
Location :: GOBA NJIA NNE - KARIBU NA BARABARA
Bei Yake :: TSH 700,000 kwa Mwezi
Maelezo;
📍Vyumba Vitatu (Kimoja Master)
📍AC Kwenye Masterbedroom & Sebuleni
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
Call / Whatsapp
0786079027#WHATSSAP