Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA OYSTERBAY
💧Bei Yake :: 700,000Tsh kwa Mwezi (#MIEZI_6)
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili kimoja master
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye Makabati
📍Feni
📍Fensi
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0689590210
0719523533
0748887892
Call /Whatsap