Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KISHUA KABISAAA ZINAPANGISHWA GOBA NJIA YA MADALE WAHI CHAP
PIGA SIMU 0755831740
ZIMEBAKI CHACHE
Vyumba viwili kimoja master sebule jiko linawekwa Makabati na public toilet
500,000 × 6
GOBA NJIA YA MADALE
DAKIKA 5 KWA MIGUU KUTOKA MADALE ROAD
Service charge 20,000/=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
__