Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Goba Center
Bei: 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Boda 1000 Kutoka Goba Road
☑️Chumba Kimoja Master Kubwa
☑️Jiko
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimaster_tz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Ofisi Vinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#DalaliMasterTz #MasterMijengo