Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms , Sebule na Jiko 1 Millionš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Goba (Makongo Road)
⢠Vyumba Viwili Kimoja Master
⢠Full Air Conditioner
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Fence Na Parking
⢠Nyumba ipo umbali wa Dk 15 kutoka Lami
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 1 Millionā
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/Whatsappš²