Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba vitatu Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa pia zuri
Nyumba ipo goba sentar kutoka lami dakika 6tu
Bei laki tano kwa mwezi kodi miezi6 tu
Nipigie simu 717 173 180