Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo 6 Tu kwenye fensi)
Location :: GOBA NJIA NNE KITUO MAGETI
Bei yake :: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 7)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
0788633081
0682778500