Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
‼️Hakuna master hapaa🙌🏿✍🏿
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO GOBA ROAD MTAA WA MUHIMBILI KUTOKA KITUO CHA DALADALA HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
🔥IKUMBUKWE NYUMBA HII KUNA PESA YA ULINZI KWA KILA MWEZI AMBAPO NI 40500
NO EXCUSE HERE DEAR MY CUSTOMER
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924
0688653940