Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


🏠 Nyumba Inapangishwa – BRAGIN, Goba Road
Features:
🛏 Master bedroom
🛋 Sebule
🍳 Jiko
Amenities:
💧 Maji yapo
⚡ Umeme umeunganishwa
🅿 Parking ipo
🔒 Mazingira salama na tulivu
💰 Kodi: 350,000/= kwa mwezi
🗓 Malipo: Miezi 6
📞 Mawasiliano: 0678 512 666
💵 Service charge na agent commission zipo