Nyumba inapangishwa Ilboru, Arusha
Inapangishwa ilboru arusha
Ni nyumba inajitegemea
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule kubwaa sana unaweza kuweka dairning
Ina public toilet
Ina jiko
Ina parking
Ipo sehemu patulivu
Bei 300,000/=kwa mwez
Kodi ilipwe miezi sita
Call 0758105801/0693412119