Nyumba inapangishwa Iyumbu, Dodoma


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA 🌱
📍MAHALI- IYUMBU
🚪 MUUNDO
~~Vyumba V2 vya kulalaa (VYOTE MASTER)
~~sebule
~~jiko zuri
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
💰MALIPO
~Bei ni 300,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 06+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+25t657122976 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000/=